Supportive Family Roles in Exclusive Breastfeeding Awareness Campaign

Slide Note
Embed
Share

This campaign features radio spots showcasing the importance of exclusive breastfeeding in the first six months of a baby's life. Grandmothers, aunts, and fathers play key supportive roles in ensuring proper nutrition and care for the baby. Messages emphasize the benefits of breastfeeding and balanced nutrition, promoting a unified approach to child-rearing. Collaboration with health organizations enhances the impact of the campaign.


Uploaded on Sep 11, 2024 | 0 Views


Download Presentation

Please find below an Image/Link to download the presentation.

The content on the website is provided AS IS for your information and personal use only. It may not be sold, licensed, or shared on other websites without obtaining consent from the author. Download presentation by click this link. If you encounter any issues during the download, it is possible that the publisher has removed the file from their server.

E N D

Presentation Transcript


  1. FINAL CAMPAIGN MATERIALS- RADIO SPOTS

  2. Spot 1: Grandma on EBF English Swahili BUSARA S MOM MAMA BUSARA: For sure, your child is our child. Kweli mtoto wako ni wetu sote. In my baby Busara s first six months, her grandmother ensured that I only breastfed her on demand (Baby Cries) I remember she said Miezi sita ya mwanzo ya mwanangu Busara, bibi yake alihakikisha namnyonyesha maziwa ya mama pekee kila mualipohitaji (Baby Cries) Nakumbuka Alisema Grandmother: BIBI: The more you breastfeed her, your breasts respond by making more milk to satisfy her need. Kadri unavyomnyonyesha, ndivyo maziwa yanavyotengenezwa kwa wingi kwa ajili ya mtoto. END VO: When the baby is happy, we are all happy. To learn more call *199# FREE END VO: Ndio, Mtoto akifurahi, tunafurahi. Tushiriki kumlea. Kufahamu zaidi piga simu nambari*199# BURE This message is brought to you by Ministry of Health in collaboration with UNICEF, SADC and GAIN Ujumbe huu umeletwa kwenu na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa UNICEF, SADC na GAIN

  3. Spot 2: Aunt on EBF Swahili English MAMA BUSARA: BUSARA S MOM: Kweli mtoto wako ni wetu sote. your child is our child. Mwanangu Busara alipofika miezi minne nilitaka kumuanzisha uji (baby crying in background) Shangazi yake akanielimisha .. When Busara was four months old, I had planned to introduce her to porridge (baby crying in the background). But her aunty educated me SHANGAZI: Aunty: hapana usimpe hata maji, (baby chuckles) maziwa yako pekee yanamtosha. No no no do not even give drinking water, (baby chuckles), Breastmilk is enough, you should do this in the first six months, breastfeeding only, nothing else. unapaswa kufanya hili kwa miezi 6 ya mwanzo mpe maziwa ya mama pekee, usimpe kitu kingine chochote END VO: When the baby is happy, we are all happy. To learn more call *199# FREE END VO: Ndio, Mtoto akifurahi, tunafurahi. Tushiriki kumlea. Kufahamu zaidi piga simu nambari*199# BURE This message is brought to you by Ministry of Health in collaboration with UNICEF, SADC and GAIN Ujumbe huu umeletwa kwenu na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa UNICEF, SADC na GAIN

  4. IMPLEMENTATION PHASE Spot 3: Dad and mashed food (30 seconds) English Swahili MAMA BUSARA: BUSARA S MOM: Kweli Mtoto wako ni wetu sote, For sure, your child is our child, Busara alipofika miezi 6 baba yake alijitoa sana (baby chuckles in background) Mbali na kulemletea busara nyama, dagaa, mayai na maziwa alinisaidia pia kumpondeapondea chakula kiwe laini ili aweze kula kwa urahisi. Na aliniambia .. When BUSARA was half a year old, her Dad was fully dedicated to fatherhood. Besides coming home with meat, sardine, eggs and milk for Busara, he d also help me to mash her meal till it was very soft to feed. And he always told me that BUSARA S DAD: BABA: Our baby is 6months old, let s start giving her balanced diet while you continue breastfeeding until she reaches 2 years or above.. Mtoto wetu ametimiza miezi 6, tuanze kumpa mlo kamili huku akiendelea kunyonya hadi atakapofika umri wa miaka miwili au zaidi. END VO: Ndio, Mtoto akifurahi, tunafurahi. Tushiriki kumlea. Kufahamu zaidi piga simu nambari*199# BURE END VO: When the baby is happy, we are all happy. To learn more call *199# FREE Ujumbe huu umeletwa kwenu na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa UNICEF, SADC na GAIN This message is brought to you by Ministry of Health in collaboration with UNICEF, SADC and GAIN For internal use only 4

  5. IMPLEMENTATION PHASE Spot 4: Grandpa on Snacking (30 seconds) Swahili English BUSARA S MOM: MAMA BUSARA: For sure, your child is our child, Kweli Mtoto wako ni wetu sote, When we started giving Busara complementary food, we had we had to give her variety of food (sound of baby eating). When her grandfather came, he always brought his granddaughter fruit such as pawpaw, mango, ripe banana, and told me Tulipomuanzishia Busara busara chakula cha nyongeza ilibidi tumbadilishie milo tofauti tofauti (sound of baby eating) Ila babu yake alipokuja alipenda sana kumletea matunda kama vile papai, embe ndizi mbivu; na kuniambia . BUSARA S DAD: BABU: At this age of 6 months to two years, give my granddaughter balanced diet while you continue breastfeeding until she reaches 2 years or above. Katika umri huu wa miezi 6 hadi miaka miwili, mpe mjukuu wangu mlo kamili huku ukiendelea kumyonyesha. END VO: When the baby is happy, we are all happy. To learn more call *199# FREE END VO: Ndio, Mtoto akifurahi, tunafurahi. Tushiriki kumlea. Kufahamu zaidi piga simu nambari*199# BURE This message is brought to you by Ministry of Health in collaboration with UNICEF, SADC and GAIN Ujumbe huu umeletwa kwenu na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa UNICEF, SADC na GAIN For internal use only 5

Related


More Related Content